Live or Die by Scott Montana Lyrics
Looking for the Swahili lyrics to “Live or Die” by Scott Montana (2023)? More than 150 people have already found the lyrics of the song for karaoke, the notes of the melody to the song, the official video and clip of the song “Live or Die”.
Quote from the song “Live or Die” by Scott Montana
Verse 1
Ahh! naona wengi kupagawa
Wakwasi wanayofanya si sawa
Hakuna tiba hakuna dawa
Wachochole wamegeuka chawa
LyricsWord.com
Can you finish lyrics of the song “Live or Die” based on this quote?
If you can't then the lyrics will be below ...
Official Music Video Song “Live or Die”
Scott Montana - “Live or Die” (Official Video Clip)
This video clip of Scott Montana will answer the following questions:
- What song samples Live or Die?
- Where is Live or Die music video clip?
- Who was in the Live or Die official music video?
- Who sang the popular song Live or Die?
- What is the meaning of the song Live or Die?
Credits, Cast & Crew of Song “Live or Die”
- Written: Scott Montana
- Recorded At: Dart Studio
- Release Date: March 10, 2023
Perfect Lyrics of the Song “Live or Die” Released in 2023
[Favorite Song Lyrics: song “Live or Die” with perfect lyrics for karaoke]
Verse 1
Ahh! naona wengi kupagawa
Wakwasi wanayofanya si sawa
Hakuna tiba hakuna dawa
Wachochole wamegeuka chawa
Ahh! si ulifika home ukakaa kwa baridi
Na Mungu alikua shahidi
Nikakuombea urudi kazini
.................................….....
Na mamayangu yuko hoi
Huna habari
Ni jinsi gani ilivyo hali
Tunakaza moyo twaeka amani
Kwa Mungu tuajaliwe kibali
Nikikupigia simu
Unabishaa
Alafu unaninyamazishaa
Msaada wako nimejisalimishaa
Ni janga ila yote yatakwisha
Bridge
Oh Lord nipe power niimbe nawe
Eeh Yahweh niimbe Nawe
Nikumbushe kila Sunday
Amani iwe na me
Natena naomba Unitawale
Milele nife nawe
Nikizama nisikwame
Maishani niwe nawe
Chorus
We live or die
We live or die
Should we live or die
We live or die
We live or die
We live or die
Should we live or die
We live or die
Verse 2
Sina kinyongo wala tamaa
Rafiki hutambui mama
Starehe zimekubana
Mwana weeh Ehh!
Haukumbuki hata zama
Aliyekuuguza ni mama
Leo hii umemuacha hana maana we!
Umebadilika
Yani yani
Unaniaibisha
Unanizaraulisha
Buddy buddy
Unanipandisha
Umebadilika
Yani yani
Unaniaibisha
Unanizaraulisha
Buddy buddy
Unanipandisha
Chorus
We live or die
We live or die
Should we live or die
We live or die
We live or die
We live or die
Should we live or die
We live or die