M.A.A.d City Freestyle by So-Lo (TZ) Lyrics
Looking for the Swahili lyrics to “M.A.A.d City Freestyle” by So-Lo (TZ) (2020)? More than 71 people have already found the lyrics of the song for karaoke, the notes of the melody to the song, the official video and clip of the song “M.A.A.d City Freestyle”.
Quote from the song “M.A.A.d City Freestyle” by So-Lo (TZ)
Intro (So-Lo)
LyricsWord.com
Can you finish lyrics of the song “M.A.A.d City Freestyle” based on this quote?
If you can't then the lyrics will be below ...
Official Music Video Song “M.A.A.d City Freestyle”
So-Lo (TZ) - “M.A.A.d City Freestyle” (Official Video Clip)
This video clip of So-Lo (TZ) will answer the following questions:
- What song samples M.A.A.d City Freestyle?
- Where is M.A.A.d City Freestyle music video clip?
- Who was in the M.A.A.d City Freestyle official music video?
- Who sang the popular song M.A.A.d City Freestyle?
- What is the meaning of the song M.A.A.d City Freestyle?
Credits, Cast & Crew of Song “M.A.A.d City Freestyle”
- Featuring: Kimbunga Mchawi
- Produced: Bako mo Tz
- Written: So-Lo (TZ)
- Release Date: March 14, 2020
Perfect Lyrics of the Song “M.A.A.d City Freestyle” Released in 2020
[Favorite Song Lyrics: song “M.A.A.d City Freestyle” with perfect lyrics for karaoke]
Intro (So-Lo)
Yeah Solo Solo Solo
MoTz what up
This is our shit right here nigga
Huh, So-Lo, skia, Yo
Verse 1 (So-Lo)
Laki bukubuku nikichanga napata
Na Ugali chukuchuku nashiba adi nadata
Na Utotoni niliimba wimbo wa madogo mabata
Ila sasa nnavyoimbaga watoto ndo wanadata
Nipo mimi na Saidi wanatuona makaidi tulianza kula widi tangu darasa la sa-ba
Sikukuu ya Iddy ukiwa mtoto Iddy ukitaka kufaidi kacheze kibaba Ba-ba
Mama alinihusia marufuku kuzubaa
Usipokuwa makini nakuacha kwenye mataa
Kilichofatia ni kibao mbele songa
Nami tangu siku hiyo sijawahi kushangaa, ah
Polisi ka kosa sina worry sina sorry sina stori sina ngori mini warrior Escobar
Kichwani boshori sina shobo wala shori natubu dhambi am sorry sa naleta kwako toba
Maana, juzi, juzi, jana
Nlikuwa na mwanangu leo tumemzika Rama
Ee Baba tuonee huruma duuh
Maisha machungu na mafupi, rudi tu
Japo tulipo ni mtaani tunaishi kama motoni
Sikutazami usoni ka sina kitu mfukoni
Nawatekenya vichomi maana nna flow za kisomi
Flow za peponi kali ni hizi flow za motoni
Okay Leo, kesho, kutwa, mwaka
Tisini na tisini na nlizaliwa Dar
Kuishi kuishi kwingi kumenfunza kukomaa
Japo marafiki wengi wachache ndo wanafaa
Solo wa kitaa mhuni niliyesoma shule
King wa mitaa n Solo yuleyule
Mi nasaka pay mi na’pay sili bure
Nawashika hawa wale hapa mpaka kule
Mi ni upepo we bendera so nifuate popote
Ukinifuata hata siku moja hupotei
Mi ni bingwa hata siku moja siotei
Ngoma easy kali mziki unapanda bei
Yeah, usikae kizembe nigga kitaa kimepinda
Vita sio beef ukizingua nakuwinda
Usinione young ukanichukulia kinda
Watu wana laana toka wapo kwenye Mi...
Interlude (Kimbunga Mchawi)
Hahaa, Yeah
And this is real Hip Hop
Hahaa, Eeeeh new talent from the street
And this is how we do
Yeah, So-Lo TZ, Hold on
Let’s go, again, Republican
Verse 2 (So-Lo)
Life ina’change na hata kama hawapendi
Up na’spend na tena under na’stand
Any situation nipo wima si’bend
Range, kamwe siwezi kushindana na Semi
Waambie rap ni soka na hizi ndo danadana
Kipaji bwana matobo kanzu wanavaa sana
Na chenga nnazowapiga mabeki ndo wanakabana kiwanja Copa Cabana kibongobongo wanabana
Aiyanai ki’rass rass nawasabahi
Nawapa Hi ka Dully Sykes hawakatai
Nshapata site na’buy time nauza rhymes
Kama mbwai mbwai kama unajijua backbiter
Nna lighter na zigi nawa’bite kama gwiji tena nawatanabaisha wapaishane vipi??!
Wakae kwenye viti mi nakaa beat ya Bako MoTz waji’compare na mi
Interlude 2 (So-Lo)
Ukiambiwa kuwa tulishapewa wake kwa ajili ya kuchana kwa shughuli kama hizi utakubali??
Utashindwa vipi kuamini kwa verse kama hizi ambazo zinakuja
Here we go, twende