Nenda dada by Msomali Lyrics
Looking for the Swahili lyrics to “Nenda dada” by Msomali from the album Nenda dada (2022)? More than 106 people have already found the lyrics of the song for karaoke, the notes of the melody to the song, the official video and clip of the song “Nenda dada”.
Quote from the song “Nenda dada” by Msomali
Nenda dada aaah,Nenda dada aaah
Na engine ya pendo imefelii
Kwa ulichonifanyia haki sio kweli
Na engine ya pendo imefelii
Kwa ulichonifanyia wala sio kweli
Nenda dada nimechoka na vibweka
Nenda mama asante kwa kunitesaa
Nenda dada nimechoka na vibweka
Nenda dada asante kwa kunitesaa
Na engine ya pendo imefelii
Kwa ulichonifanyia haki sio kweli
Na engine ya pendo imefelii
Kwa ulichonifanyia wala sio kweli
Nenda dada nimechoka na vibweka
Nenda mama asante kwa kunitesaa
Nenda dada nimechoka na vibweka
Nenda dada asante kwa kunitesaa
LyricsWord.com
Can you finish lyrics of the song “Nenda dada” based on this quote?
If you can't then the lyrics will be below ...
Official Music Video Song “Nenda dada”
Msomali - “Nenda dada” (Official Video Clip)
This video clip of Msomali will answer the following questions:
- What song samples Nenda dada?
- Where is Nenda dada music video clip?
- Who was in the Nenda dada official music video?
- Who sang the popular song Nenda dada?
- What is the meaning of the song Nenda dada?
Credits, Cast & Crew of Song “Nenda dada”
- Produced: Nick Wiz
- Written: Msomali
- Recorded At: Sireni music
- Release Date: January 3, 2022
Perfect Lyrics of the Song “Nenda dada” Released in 2022
[Favorite Song Lyrics: song “Nenda dada” with perfect lyrics for karaoke]
Nenda dada aaah,Nenda dada aaah
Na engine ya pendo imefelii
Kwa ulichonifanyia haki sio kweli
Na engine ya pendo imefelii
Kwa ulichonifanyia wala sio kweli
Nenda dada nimechoka na vibweka
Nenda mama asante kwa kunitesaa
Nenda dada nimechoka na vibweka
Nenda dada asante kwa kunitesaa
Na engine ya pendo imefelii
Kwa ulichonifanyia haki sio kweli
Na engine ya pendo imefelii
Kwa ulichonifanyia wala sio kweli
Nenda dada nimechoka na vibweka
Nenda mama asante kwa kunitesaa
Nenda dada nimechoka na vibweka
Nenda dada asante kwa kunitesaa
Yangu amani imetowekaa
Sioni furaha kwa watu minachekwaa
Yangu amani imetowekaa
Sioni furaha kwa watu minachekwaa
Mapenzi ya nani duniani
Kayaumba nani ni mananii
Mapenzi ya nani duniani
Kayaumba nani ni mananii
Nenda dada aaah,Nenda dada aaah
Nenda dada aaah,Nenda dada aaah
Kifo cha njaa nateswa na nguvu ya giza
Mi najiita fundi kwa miguno ya kuigizwa
Nalia ahaa sina uwezo wa pizaa
We dada ahaa nifanye miujizaa
Umenipa ndege mi dereva wa guta
Sina la kufanya mi kwa watu na umbukaa
Labda kwa mola haukuwa langu dowa
Maana iliposema ohhla ndio nikampata doraa
Labda kwa mola haukuwa langu dowa
Maana iliposema ohhla ndio nikampata doraa
Hata na nick anajua ninavyo umia
Jelaous moyoni anakuchukia
Na jike shupa anajua ninavyoumia
Jelaous moyoni anakuchukia
Nenda dada aaah,Nenda mama aaah
Eti mama sitaki tena kupendaa
Sitaki tena kutendwa msomali
Sitaki tena kupenda sitaki tena kutendwa
Maana nilishapenda nikatenda penzi kidonda
Shuka la mgonjwaa atarisi nani akienda
Maana nilishapenda nikatenda penzi kidonda
Shuka la mgonjwaa atarisi nani akienda