Kurasa zilizokosekana by Adam Shule Kongwe Lyrics
Looking for the Swahili lyrics to “Kurasa zilizokosekana” by Adam Shule Kongwe (2021)? More than 134 people have already found the lyrics of the song for karaoke, the notes of the melody to the song, the official video and clip of the song “Kurasa zilizokosekana”.
Quote from the song “Kurasa zilizokosekana” by Adam Shule Kongwe
Verse 1:
Africa Ni Taifa Sa Kwa Nini Waigawanye
Wao Wametukuta Watakuaje Wafalme
Hawa Wajinga Walijivisha Unadhifu
Kisha Viongozi Wetu Wakawaita Ma Chief
Wauaji Kama Leopold Kongo
Mamilioni Ya Watu Walifukiwa Kwenye Udongo
Sambamba Na Ukatili Kama Kukatwa Mikono
Na Kutumikishwa Hakujafikaga Kikomo
Migodi Ya South Vibarua Ni Wazawa
Licha Ya Kazi Ngumu Walichukua Roho Zao
Almasi Na Dhahabu Zenye Damu
Mateso Mbalimbali Ya Mababu Kwenye Mashamba
------Mi Napata Moto Kwa Hakika
Hasa Inapofika, Siku Ya Mtoto Wa Africa
Kaburu Kutafuta Uhuru Kwani Kosa
Nalilia Watoto Wa Kizulu Na Kikhosa
Verse 2:
Wanatuona Vibomba Hawa Jamaa
Naskia Eti Papa Alishaomba Msamaha
Nilishangaa, Huo Ni Upendo Wa Wapi
Mnajua Mlipoteza Wazalendo Wangapi
Itabadili Nini, Kivipi
Mtatuambia Nini Saivi
Kama Mama Africa Alidhalilishwa Vilivyo
Kwenye Human Zoo Watoto Walilishwa Hadi Ndizi
Hamuandiki, Mnatuongopea Achen Fix
Badala Yake Mnatuletea Mafeminist
Na Hadi Leo Mmebakisha Vinasaba
Mkaleta Democrasia Kuzalisha Vibaraka
Wa Umoja Wa Mataifa Au Umoja Wa Mataita
Boda Za Bongo Hao Masoja Wataisha
Mnawaua Wakati Nyie Mnashinda Ndani
Na Mkuu Anajisifu Kusema Wanalinda Amani
Verse 3:
Tazama Mauaji Ya Wenyewe Kwa Wenyewе
Power Ya Waasi Kusimama Vifua Mbele
Silaha Za Kivita Na Kibaiolojia
Dini Kutugawa Hadi Tunajichukia
Wanapеana Vijiti Toka Karne
Hii Kalamu Ni Zaidi Ya Mashine Ya Bomba Nane
Na Popote Napowafuma Namimina
Sijaganda Mawazo Ka Watumwa Wa Kifikra
Usiniulize Kwamba Nani Namkolea
Au Nani Noma Kati Ya Mmarekani Na Mkorea
Huwezi Nikuta Namshabikia Trump
Hawa Walete Acha Waikanyagie Track
Mi Kioo Cha Jamii I Let The Freedom Ring
Siwezi Sifia Wasenge Kama Kim Jong Ill
Iko Wazi Watasiliba Ninavyotukana
Kitu Wanachosifu Ni Jinsi China Inavyotufanya
LyricsWord.com
Can you finish lyrics of the song “Kurasa zilizokosekana” based on this quote?
If you can't then the lyrics will be below ...
Official Music Video Song “Kurasa zilizokosekana”
Adam Shule Kongwe - “Kurasa zilizokosekana” (Official Video Clip)
This video clip of Adam Shule Kongwe will answer the following questions:
- What song samples Kurasa zilizokosekana?
- Where is Kurasa zilizokosekana music video clip?
- Who was in the Kurasa zilizokosekana official music video?
- Who sang the popular song Kurasa zilizokosekana?
- What is the meaning of the song Kurasa zilizokosekana?
Credits, Cast & Crew of Song “Kurasa zilizokosekana”
- Produced: Bin Laden
- Written: Adam Shule Kongwe
- Release Date:
Additional Information About the Sample “Kurasa zilizokosekana”:
- Produced: Bin Laden rn
- Written: Adam Shule Kongwe
Perfect Lyrics of the Song “Kurasa zilizokosekana” Released in 2021
[Favorite Song Lyrics: song “Kurasa zilizokosekana” with perfect lyrics for karaoke]
Verse 1:
Africa Ni Taifa Sa Kwa Nini Waigawanye
Wao Wametukuta Watakuaje Wafalme
Hawa Wajinga Walijivisha Unadhifu
Kisha Viongozi Wetu Wakawaita Ma Chief
Wauaji Kama Leopold Kongo
Mamilioni Ya Watu Walifukiwa Kwenye Udongo
Sambamba Na Ukatili Kama Kukatwa Mikono
Na Kutumikishwa Hakujafikaga Kikomo
Migodi Ya South Vibarua Ni Wazawa
Licha Ya Kazi Ngumu Walichukua Roho Zao
Almasi Na Dhahabu Zenye Damu
Mateso Mbalimbali Ya Mababu Kwenye Mashamba
------Mi Napata Moto Kwa Hakika
Hasa Inapofika, Siku Ya Mtoto Wa Africa
Kaburu Kutafuta Uhuru Kwani Kosa
Nalilia Watoto Wa Kizulu Na Kikhosa
Verse 2:
Wanatuona Vibomba Hawa Jamaa
Naskia Eti Papa Alishaomba Msamaha
Nilishangaa, Huo Ni Upendo Wa Wapi
Mnajua Mlipoteza Wazalendo Wangapi
Itabadili Nini, Kivipi
Mtatuambia Nini Saivi
Kama Mama Africa Alidhalilishwa Vilivyo
Kwenye Human Zoo Watoto Walilishwa Hadi Ndizi
Hamuandiki, Mnatuongopea Achen Fix
Badala Yake Mnatuletea Mafeminist
Na Hadi Leo Mmebakisha Vinasaba
Mkaleta Democrasia Kuzalisha Vibaraka
Wa Umoja Wa Mataifa Au Umoja Wa Mataita
Boda Za Bongo Hao Masoja Wataisha
Mnawaua Wakati Nyie Mnashinda Ndani
Na Mkuu Anajisifu Kusema Wanalinda Amani
Verse 3:
Tazama Mauaji Ya Wenyewe Kwa Wenyewе
Power Ya Waasi Kusimama Vifua Mbele
Silaha Za Kivita Na Kibaiolojia
Dini Kutugawa Hadi Tunajichukia
Wanapеana Vijiti Toka Karne
Hii Kalamu Ni Zaidi Ya Mashine Ya Bomba Nane
Na Popote Napowafuma Namimina
Sijaganda Mawazo Ka Watumwa Wa Kifikra
Usiniulize Kwamba Nani Namkolea
Au Nani Noma Kati Ya Mmarekani Na Mkorea
Huwezi Nikuta Namshabikia Trump
Hawa Walete Acha Waikanyagie Track
Mi Kioo Cha Jamii I Let The Freedom Ring
Siwezi Sifia Wasenge Kama Kim Jong Ill
Iko Wazi Watasiliba Ninavyotukana
Kitu Wanachosifu Ni Jinsi China Inavyotufanya